Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa.