Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha

HomeKitaifa

Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Irene amesema kwamba kutokana na majukumu ya kila siku hivyo anahitaji mtu atakayekuwa anatembea naye muda wote kwa kazi moja tu ya kumchekesha.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Irene Uwoya (@ireneuwoya8)

error: Content is protected !!