Video 5 za Mwana FA zilizotazamwa zaidi Youtube

HomeBurudani

Video 5 za Mwana FA zilizotazamwa zaidi Youtube

Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana FA, ambaye hivi sasa ni Mbunge wa Jimbo la Muheza mkoani Tanga, ni moja kati ya wasanii wanaopendwa hapa Tanzania.

Nyimbo zake nyingi zinapendwa, hata zile za kale zinaishi na kusikika kwenye vyombo vya habari na kumbi za starehe. Hizi hapa ni video za nyimbo zake 5 zilizotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube.

 

error: Content is protected !!