Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

HomeKitaifa

Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Usiano kwa Umma hadi kufikia Februari 2023, Tanzania Bara ilikuwa imesajili vyombo vya habari 1,123 ambavyo ni pamoja na;

1. Magazeti 312
2. Radio 218
3. Televisheni 68
4. Radio mtandaoni 8
5. Televisheni mtandaoni 391
6. Blog na majukwaa 73
7. Cable operator 53

error: Content is protected !!