Vipande vya Tanzanite vyauzwa

HomeKitaifa

Vipande vya Tanzanite vyauzwa

Mawe Makubwa Mawili ya Tanzanite moja likiwa na uzito wa kilo 3.74 na jingine likiwa na uzito wa kilo 1.48 yamepatikana ndani ya machimbo ya Tanzanite Mirerani kutoka kwa mchimbaji mdogo, Anselm Kawishe.Mawe hayo yanatarajiwa kununuliwa na Serikali kwa shilingi 2,245,571,543.46.

Mawe Makubwa ya Tanzanite yamepatikana katika machimbo ya Tanzanite Mirerani kutoka kwa Mchimbaji Mdogo Anselim Kawishe.

error: Content is protected !!