Waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel

HomeBurudani

Waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel

Kampuni ya inayohusika na uandaaji wa matamasha ya Str8up Vibes imeomba radhi kwa mashabiki baada ya msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Daniel kushindwa kutumbuiza kwenye tamasha lililoandaliwa.

Kizz Daniel alitegemewa kushiriki kwenye tamasha la Summer Amplified jana Agosti 7,2022 WareHouse zamani NextDoor Arena jijini Dar es Salaam.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Str8 Up Vibes™ (@str8upvibes_)

error: Content is protected !!