Yanga unbeaten nani kasema ?

HomeMichezo

Yanga unbeaten nani kasema ?

Timu ya Yanga SC imeangukia pua baada ya kukubali kichapo cha goli 2- 1 kutoka timu ya Ihefu katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye dimba la Highlands Estate wa Ihefu mkoani Mbeya.

Ihefu imekuwa timu ya kwanza kuvunja rekodi ya Yanga ya kutofungwa mechi 49.

error: Content is protected !!