Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka

HomeBurudani

Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka

Akiwa kwenye kipindi cha The Angie Martinez Show mwanamuziki nyota kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ameweka wazi kuhusu video ya ngono inayomuonesha akiwa na mpenzi wake wa sasa, na  kwamba ni kweli kwa kile kinachoonekana.

Tiwa amesema kwamba mara baada ya kutumiwa video hiyo na meneja wake ambaye naye alitumiwa na kijana mmoja kutoka kwenye timu yake alishtuka na kushangaa ni wapi wameipata.

“Nilichanganyikiwa na kumuuliza meneja mangu kuwa tunafanyaje ?…. meneja wangu akaniuliza ni kiasi gani anahitaji tumpatie!? Nikamwambia hapana kwa sababu tukimpa leo pesa  atarudi tena baada ya miezi miwili mbele atahitaji tena, hivyo siwezi ruhusu mtu kuniibia kwa kitu ambacho sio halali,” alisema Tiwa.

> Madhara 8 ya kuchora “Tattoo” mwilini.

Kuhusu kupata mkanda huo , Tiwa amesema kwamba mpenzi wake alichapisha video hiyo kwenye mtandao wa Snapchat kwa bahati mbaya na kuifuta haraka lakini kumbe kuna mtu ambaye alikuwa tayari ameiona na kuichuka, pia mtu huyo ametaja kiasi pesa anachohitaji kutoka kwa Tiwa Savage na atumiwe kwa mfumo wa Bitcoin.

error: Content is protected !!