Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Zitto aliandika hakuna Tanzania bila Zanzibar na kuwataka viongozi wafanye marekebisho ya ramani hiyo na kuwataja viongozi wa nchi za Afrika Mashariki kuchukua hatua.
Dear @jumuiya this map is incomplete. Zanzibar isn’t in the map. There is no Tanzania without Zanzibar. May you please correct the error. @PaulKagame @KagutaMuseveni @SuluhuSamia @StateHouseKenya @GeneralNeva @Presidence_RDC @PresSalva @foreigntanzania @TZMsemajiMkuu pic.twitter.com/95moDV0cwo
— Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) April 8, 2022