Zitto aikosoa ramani ya EAC

HomeKimataifa

Zitto aikosoa ramani ya EAC

Mwenyekiti wa ACT, Zitto Kabwe ameikosoa ramani mpya ya Umoja wa nchi za Afrika Mashariki kwa kusema kwamba haijakamilika kwa kukosekana Zanzibari.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Zitto aliandika hakuna Tanzania bila Zanzibar na kuwataka viongozi wafanye marekebisho ya ramani hiyo na kuwataja viongozi wa nchi za Afrika Mashariki kuchukua hatua.

error: Content is protected !!