Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

HomeBurudani

Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno yasiyo na busara juu ya msanii huyo na mama yake nguli wa muziki wa taarabu, Bi. Khadija Kopa.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ZUCHU (@officialzuchu)

error: Content is protected !!