50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith

HomeBurudani

50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith

Rapa kutoka nchini Marekani Curtis James Jackson III maarufu kama 5O cent amemkingia kifua Muigizaji Will Smith kutokana na adhabu aliyopewa kwa kusema kuwa ni kubwa sana hakustahili kufanyiwa hivyo.

50 cent amendika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba anaona adhabu hiyo ya kutoshiriki na kuingia Oscars kwa muda wa miaka 10 ni kubwa sana kwake.

error: Content is protected !!