Taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameridhia siku ya sensa Agosti 23,2022 kuwa siku ya mapumziko.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea Makarani wa Sensa na kutoa maelezo sahihi. pic.twitter.com/TkWnWO5fEJ
— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) August 18, 2022