Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko

HomeKimataifa

Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko

Taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameridhia siku ya sensa Agosti 23,2022 kuwa siku ya mapumziko.

error: Content is protected !!