Baada ya msaani Zuhuru ‘Zuchu’ kutumia Sash yenye jina la Miss Tanzania kwenye cover ya wimbo wake mpya wa NAPAMBANA. waandaaji wa mashindano ya Urembo Tanzania ( The Look Company) wamesema kuwa ni kosa kisheria kutumia jina la Miss Tanzania bila kupewa kibali maalum na kampuni hiyo.
View this post on Instagram