Miss Tanzania atangaza kutoshiriki Miss Word 2025

HomeBurudani

Miss Tanzania atangaza kutoshiriki Miss Word 2025

Miss Tanzania 2023 Tracy Nabukera ametangaza uamuzi wake wa kujiondoa katika mashindano yajayo ya Miss World. Akitaja ukosefu wa usaidizi, mawasiliano duni, na maandalizi yasiyoridhisha kutoka kwa waandaaji, Tracy amesema kuwa hajihisi tena kuwa na nguvu ya kuiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kimataifa.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Tracy Nabukeera (@tracy.keera)

Licha ya changamoto hii, Tracy bado anajivunia taji lake la miss Tanzania 2023 na anaendelea kuwa mwaminifu katika Kuhamasisha, kuhudumu na kuleta mabadiliko chanya.

 

 

error: Content is protected !!