Uzunduzi wa minara 758, maunganisho ya mkongo wa mawasiliano

HomeKitaifa

Uzunduzi wa minara 758, maunganisho ya mkongo wa mawasiliano

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Mawasiliano katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kabla ya Uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano Serikalini, tarehe 10 Aprili, 2026.

error: Content is protected !!