Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani

HomeMakala

Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani

Inaaminika kwamba dunia nzima ina watu zaidi ya bilioni 7. Idadi ya watu hupatikana kupitia sensa zinazofanywa na Serikali ya nchi husika au zinazofanywa na taasisi mbalimbali za Kimataifa.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, zifuatazo ni nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu ulimwenguni:

1. China ina watu 1,439,323,776

2. India ina watu 1,380,004,385

3. Marekani ina watu 331,002,651

4. Indonesia ina watu 273,523,615

5. Pakistan ina watu 220,882,340

6. Brazil ina watu 212,559,417

7. Nigeria ina watu 206,139,589

8. Bangladesh ina watu 164,689,383

9. Urusi ina watu 145,934,462

10. Mexico ina watu 128,932,753

Idadi ya watu nchini Tanzania, inakadiriwa kufikia watu zaidi ya milioni 55 japo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, idadi ya watu ilikuwa 44,928,923.

error: Content is protected !!