Author: William Dennis

1 2 3 10 10 / 98 POSTS
Maspika wa Bunge waliowahi kujiuzulu Afrika

Maspika wa Bunge waliowahi kujiuzulu Afrika

Spika wa Bunge katika nchi yoyote ni kati ya viongozi wa juu, wanaoongoza mhimili muhimu sana katika nchi. Sio jambo la kawaida sana kusikia mtu anaji [...]
Bei za mafuta zashuka

Bei za mafuta zashuka

Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta nchini. Katika taaarifa yake iliyotolewa leo [...]
Rais Samia: Lazima tutakopa

Rais Samia: Lazima tutakopa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema kwamba Tanzania itaendelea kukopa ili kukamilisha miradi na kuharakish [...]
UVIKO-19: Wizara ya Afya yasema kuna ongezeko la maambukizi lakini hakuna wimbi la nne

UVIKO-19: Wizara ya Afya yasema kuna ongezeko la maambukizi lakini hakuna wimbi la nne

Kufuatia kuwepo kwa mjadala kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania hakuna wimbi la nne la ugonjwa 'Corona' pamoja na kauli ya Kat [...]
Zitto Kabwe amuomba Rais Samia awezeshe kuachiwa kwa Mbowe

Zitto Kabwe amuomba Rais Samia awezeshe kuachiwa kwa Mbowe

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muu [...]
Sababu za ACT kushiriki kikao kilichogomewa na CHADEMA

Sababu za ACT kushiriki kikao kilichogomewa na CHADEMA

Chama cha siasa cha 'Alliance for Change and Transparency' (ACT-Wazalendo) kimesema kitashiriki katika kikao cha wadau wa tasnia ya siasa kupitia Bara [...]
Sababu 5 zinazoweza kupelekea jengo la ghorofa kuporomoka

Sababu 5 zinazoweza kupelekea jengo la ghorofa kuporomoka

Baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa lilikokuwa likijengwa katika eneo la Goba kwa Awadhi jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo na majeru [...]
Maombi ya kesi ya Makonda yaondolewa na kurudishwa Mahakamani

Maombi ya kesi ya Makonda yaondolewa na kurudishwa Mahakamani

Maombi ya kufungua kesi dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, yaliyowekwa na mwandishi wa habari Saed Kubenea, yamesikilizwa [...]
Fanya mambo haya 5 kulinda uchumi wako mwezi Desemba

Fanya mambo haya 5 kulinda uchumi wako mwezi Desemba

Mwezi wa 12 (Desemba) ni mwezi unaombatana na sikukuu na mapumziko. Sikukuu za 'Christmas' na kuukaribisha mwaka unaofuata, hutawala zaidi mawazo ya w [...]
Muhtasari wa kitabu alichoshika Mbowe mahakamani leo

Muhtasari wa kitabu alichoshika Mbowe mahakamani leo

Leo, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe alionekana akiwa ameshika kitabu ndani ya Mahakama. Kitabu alichoshika Mbowe kina picha ya Malcolm X [...]
1 2 3 10 10 / 98 POSTS
error: Content is protected !!