Dunia ya guswa na shambulio la Urusi dhidi ya Ukraini

HomeKimataifa

Dunia ya guswa na shambulio la Urusi dhidi ya Ukraini

Operesheni maalumu ya kijeshi ya ya Rais wa Urusi Vladimir Putin mashariki mwa Ukraine imelaaniwa haraka na mataifa kadhaa.

Shambulio hilo wakati huo huo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) lilipokutana mwishoni mwa Jumatano kwa mkutano wake wa pili wa dharura wiki hii ili kuhimiza kusitishwa na kurejea kwenye mazungumzo ya kidiplomasia.

Hivi ndivyo baadhi ya mataifa makubwa yalivyoitia na kuzungumzia shambulio hilo.

Ukraini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraini, Dmytro Kuleba ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twitter kwamba,

 

Maafisa wa polisi wakikagua mabaki ya kombora lililoanguka barabarani, baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kuidhinisha operesheni ya kijeshi mashariki mwa Ukraine, huko Kyiv, Ukraine Februari 24, 2022.

Marekani

Rais wa Marekani, Joe Biden ameandika haya kwenye ukurasa wake wa twitter,

Ujerumani

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alilaani mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama “ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa” ambao “hauwezi kuhalalishwa na chochote”.

Uingereza

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alisema alishangazwa na matukio ya kutisha nchini Ukraine na amezungumza na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kujadili hatua inayofuata.

 

 



 

error: Content is protected !!