Aamuru mwanafunzi kurudishiwa kitambulisho chake

HomeKitaifa

Aamuru mwanafunzi kurudishiwa kitambulisho chake

Baada ya kutolewa kwa taarifa kuhusu mwanafunzi wa Chuo cha Seriali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) aliyekuwa akiangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha marehemu baba yake katika Hospitali ya Mloganzila jambo lililomfanya ashindwe kupata kitambulisho chake cha uraia (NIDA), Waziri Ummy Mwalimu ameingilia kati sakata hilo na kuwataka uongozi wa hospitali hiyo kumrejeshea binti huyo kitambulisho chake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Ummy Mwalimu (@ummymwalimu)

error: Content is protected !!