ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI

HomeKitaifa

ACT- Wazalendo kooni mwa TAMISEMI

Ofisi ya Msemaji wa Kisekta wa Chama cha ACT- Wazalendo ikiongozwa na Bi. Kulthum J. Mchuchuli, imetoa maoni kuhusu hotuba ya bajeti ya TAMISEMI iliyowasilishwa bungeni tarehe 14 Aprili, 2022.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter wa Chama hicho, ACT- Wazalendo wametoa maoni yao kuhusu hotuba hiyo na kutaka TAMISEMI kuchukua hatua dhidi ya mambo waliyoyaorozesha.

error: Content is protected !!