Ali Kiba na Shilole mambo safi

HomeBurudani

Ali Kiba na Shilole mambo safi

Baada yakutokea na mikwaruzo ya hapa na pale kati ya nyota kutoka King’s Music, Ali Kiba na Shilole hatimaye wawili hao wametuhakikishia kwamba sasa wapo vizuri n ahawana matatizo.

Hii ni baada ya video aliyoiweka Shilole lwenye ukurasa wake wa Instagram ikionyesha wawili hao wakiimba na kufurahi pamoja.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Shilole (@officialshilole)

error: Content is protected !!