Miss Ukraine 2015 abaki kupigana vita na Urusi

HomeKimataifa

Miss Ukraine 2015 abaki kupigana vita na Urusi

Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lena ameamua kubaki nchini humo na kujiunga na jeshi la Ukraine ili kupigana vita iliyoanzishwa na Urusi tangu juma lililopita.

Tangu kuanza kwa vita hiyo , mrembo huyo amekua akionyesha kuguswa na kuumizwa kwa kinachoendelea huku akimtaja Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kama kiongozi wa watu na mwenye nguvu.

error: Content is protected !!