Jux na zawadi hii kwa mashabiki

HomeBurudani

Jux na zawadi hii kwa mashabiki

Msanii na mmiliki wa lebo ya African Boy, Juma Jux ameahidi kutoa zawadi ya fedha kiasi cha shilingi laki moja kwa shabiki atakaye weza kuotea tarehe anayotarajia kuachia video ya ngoma yake mpya ya ‘I Love You’ aliyomshirikisha mrembo kutoka Ghana, Gyakie.

error: Content is protected !!