Alilipwa hela kamili

HomeBurudani

Alilipwa hela kamili

Mapromota wa tamasha alilopaswa kutumbuiza msanii Kizz Daniel, Big Step Consultancy wamesema walimlipa mwanamuziki huyo hela kamili licha ya kugoma kufanya kile ambacho alipaswa kufanya.

Aidha, Kampuni hiyo imeomba radhi kwa mashabiki zake kwa kile kilichotokea na kwamba wanalifanyia kazi suala hilo.

error: Content is protected !!