Author: William Dennis

1 2 3 4 5 6 10 40 / 98 POSTS
Fahamu ulaji unaoweza kukusababishia upara

Fahamu ulaji unaoweza kukusababishia upara

Sio jambo la ajabu kwa mwanadamu kupoteza nywele, kwa kawaida nywele 50 hadi 100 huweza kung'oka kichwani mwa mtu kwa siku bila mtu kujua. Taasisi [...]
Jinsi ya kurudisha ‘meseji za WhatsApp’ ulizofuta

Jinsi ya kurudisha ‘meseji za WhatsApp’ ulizofuta

'WhatsApp' ni mtandao unaotumiwa na wengi zaidi katika mawasiliano ya kila siku. Kwa bahati mbaya, unaweza kujikuta umefuta 'meseji' (ujumbe0 ambay [...]
Mume auwawa kwa kutaka kuongeza mke wa pili

Mume auwawa kwa kutaka kuongeza mke wa pili

Limi Shija (55) mkazi wa Kijiji cha Kabage wilayani Tanganyika mkoani Katavi, anatuhumiwa kwa mauaji ya mume wake Masunga Kashinje (68), kisha mwili w [...]
Sifa 5 za kocha ambaye Simba inamuhitaji

Sifa 5 za kocha ambaye Simba inamuhitaji

Mabingwa wa soka Tanzania Simba, wanatarajia kumtangaza kocha wao mpya siku yoyote kuanzia Jumatatu Novemba 8,2021. Baada ya kuachana na Mfaransa D [...]
Wataka magari yapite kwa tozo kwenye daraja la Tanzanite

Wataka magari yapite kwa tozo kwenye daraja la Tanzanite

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam ya [...]
Mapendekezo 4 ya Bunge kumaliza sakata la Machinga

Mapendekezo 4 ya Bunge kumaliza sakata la Machinga

Kutokana na zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika maeneo yasiyo rasmi na kuwapeleka katika maeneo waliyopangiwa, Bunge la Jamhur [...]
Wanawake 5 wa Kitanzania waliowahi kushika nafasi kubwa Kimataifa

Wanawake 5 wa Kitanzania waliowahi kushika nafasi kubwa Kimataifa

Tanzania inajivunia raia wake wengi waliowahi kuhudumu katika ngazi ya Kimataifa kupitia taasisi mbalimbali. Miongoni mwa Watanzania hao, kuna wana [...]
Hoteli ya nyota 5 itakayojengwa Dodoma

Hoteli ya nyota 5 itakayojengwa Dodoma

Jiji la Dodoma linatarajia kuwa na hoteli yenye hadhi ya nyota tano ifikapo mwaka 2024 baada ya kampuni ya 'Louvre Hotels Group' (Golden Tulip) kuweka [...]
Wafahamu mabilionea 10 wenye utajiri mkubwa zaidi

Wafahamu mabilionea 10 wenye utajiri mkubwa zaidi

Taasisi mbambali ulimwenguni hufanya utafiti mara kwa mara na kueleza kuhusu utajiri wa watu duniani kote. Takwimu za mwaka 2021  zinaonesha kwamba [...]
Jinsi kampuni za simu Tanzania zinavyoweza kutoa taarifa za siri za wateja wao

Jinsi kampuni za simu Tanzania zinavyoweza kutoa taarifa za siri za wateja wao

Mtumiaji wa huduma za mawasaliano ana haki mbalimbali zinazopaswa kulindwa na mtoa huduma za mawasiliano. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) im [...]
1 2 3 4 5 6 10 40 / 98 POSTS
error: Content is protected !!