Author: Asmah Sirikwa
Tovuti 10 zinazopendwa zaidi
Alexa Internet wametoa orodha ya tovuti zinazotumiwa zaidi Tanzania hadi kufikia Februari 2022 miongoni mwa data mbalimbali ikiwemo za watumiaji inter [...]
Magonjwa 7 yaliyoua zaidi duniani
Asian Flu (1956-1958)
Vifo milioni 2
Haya ni mafua yaliyoanzia Guizhou, China na yalidumu kwa miaka miwili. Haya mafua yalienea hadi Singapore, Ma [...]
Vita ya Urusi-Ukraine ilivyoathiri bei za mafuta
Kupanda kwa bei ya mafuta kumewaacha wamiliki wa vyombo vya moto, madereva daladala hata watembea kwa miguu kutaharuki pasi na kujua kuwa Tanzania si [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 07, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Hadithi ya mwanaume ambaye hajawahi kudanganya
Hapo zamani aliishi mtu mwenye busara aliyeitwa Mamad. Hakuwahi kusema uongo. Watu wote katika nchi, hata wale waliokaa umbali wa siku ishirini, walij [...]
Ajira 32, 000 kutangazwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema hivi karibuni serikali itatangaza ajira 32,000 kwa sekta zenye uhaba [...]
Waliopandikizwa mimba wajifungua
Wanawake watano kati ya tisa waliopandikizwa mimba kwa njia ya 'IVF' na 'artificial insemination' jijini Arusha wajifungua salama.
IVF ni njia ya [...]
Elon Musk ainunua Twitter apanga kufanya haya
Bilionea Elon Musk ambaye pia ndio mmiliki wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla sasa hivi ndio mmiliki mwenye hisa nyingi zaidi Twitter baada ya kup [...]
Musukuma ajiuzulu
Mbunge wa Geita Vijijini ambaye pia ni Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) amejiuzulu ubalozi wa mazingira kufuatia ri [...]
Mwanamke kulia wakati wa kujamiiana ni sawa?
Mwanamke kulia wakati wa kujamiiana ni sawa?
Kwa wengi tendo la ndoa ni tendo la kihisia na lenye kuleta furaha na ukaribu baina ya wawili hao amba [...]