Tovuti 10 zinazopendwa zaidi

HomeBurudani

Tovuti 10 zinazopendwa zaidi

Alexa Internet wametoa orodha ya tovuti zinazotumiwa zaidi Tanzania hadi kufikia Februari 2022 miongoni mwa data mbalimbali ikiwemo za watumiaji internet, wamiliki wa simu za mikononi pamoja na watumiaji mitandao ya kijamii.

Kwa Tanzania tovuti zinazotembelewa zaidi kwa siku na wastani wa muda ambao mtu hutumia kwa siku;

  1. google.com (17dk 26s)
  2. youtube.com (19dk 22s)
  3. wikipedia.org (03dk 39s)
  4. facebook.com (17dk 46s)
  5. yahoo.com (05dk 16s)
  6. ajira.go.tz (11dk 26s)
  7. mabumbe.com (06dk 11s)
  8. jamiiforums.com (11dk 35s)
  9. instagram.com (09dk 00s)
  10. betpawa.co.tz (08dk 21s)

Uwepo wa website ya Utumishi (ajira portal) kwenye orodha ni dhahiri kwamba wananchi wana kiu na ajira na hivyo wamekuwa wakitembelea tovuti hiyo mara kwa mara kuangalia nafasi za kazi wanazoweza kuziwani.

Ripoti hiyo imeonesha pia kuwa Tanzania ina watumiaji milioni 6.10 wa mitandao ya kijamii.

error: Content is protected !!