Author: Cynthia Chacha
Ziara za Rais Samia nje ya nchi zaleta matunda
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua kubwa kwa kutenga hekari 80 za ardhi huko Zanziba [...]
Rais Samia azindua bwawa la umwagiliaji kubwa zaidi Afrika Mashariki na Kati
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi bwawa kubwa la umwagiliaji linalohusishwa na kiwanda cha sukari cha Mtibwa, ambalo linatajwa ku [...]
Rais Samia azindua Daraja la Berega, aahidi kuboresha miundombinu na kuimarisha uchumi wa wananchi
Mkoani Morogoro, Rais Samia Suluhu Hassan ameanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro kwa kuzindua Daraja la Berega, mradi ambao unatajwa kuwa na mch [...]
Changamoto za Teknolojia Mpya: Kutoka Beijing-Shanghai hadi SGR ya Tanzania
Katika ulimwengu wa usafiri wa kisasa, treni za mwendokasi zimekuwa alama ya maendeleo ya teknolojia. Hata hivyo, tukio la kukatika kwa umeme kwenye r [...]
Kazi Iendelee: Rais Samia azindua safari ya treni ya kisasa ya SGR
Dar es Salaam, Tanzania – Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi safari ya treni ya kisasa ya SGR (Standard Gauge Railway) leo, akisisitiza dhamira [...]
SGR Tanzania: Reli bora yenye miundombinu ya kisasa
Dar es Salaam, Tanzania – Rais Samia Suluhu Hassan leo amezindua rasmi kipande cha kwanza cha Reli ya Kisasa ya SGR (Standard Gauge Railway), mradi mk [...]
Kiongozi mkuu wa Hamas auawa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimes [...]
Rais Samia: Uchumi wetu ni himilivu
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea mafanikio makubwa ambayo Tanzania imeyapata katika kuimarisha uchumi na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji na [...]
Rais Samia awahimiza viongozi wateule kusimamia uhuru wa habari na maendeleo ya kidigitali
Dar es Salaam, Tanzania - Rais Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha viongozi wapya katika sherehe iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam. Akihutubia wakati [...]
Ruto atangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza orodha nyingine ya Mawaziri wapya 10. Kwenye Orodha hiyo, Ruto amechagua mpaka mawaziri kutoka vyama vya Upinza [...]