Author: Cynthia Chacha
Mpango kumuwakilisha Rais Samia Rwanda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 05 Septemba 2022 amewasili Kigali nchini Rwanda ambap [...]
Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza
Daraja hilo l [...]
Mahakama yabariki ushindi wa Ruto
Mahakama ya Juu ya Kenya leo imepitisha kwa kauli moja kuchaguliwa kwa Rais mteule William Ruto katika kura ya urais ya mwezi uliopita baada ya kutupi [...]
Walioolewa na wenye watoto ruksa kushiriki Miss Universe
Huenda mashindano ya ulimbwende yanayofanyika katika maeneo mbalimbali duniani yakachua sura mpya na kufungua fursa zaidi kwa wanawake kufaidika na ta [...]
Magazeti ya leo Septemba 5,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 5,2022.
[...]
Mikoa inayoongoza kwa matumizi ya simu Tanzania
Kama ulikuwa hujui mikoa inayoongoza kwa watumiaji wengi wa simu za mkononi, basi Dar es Salaam inashika namba moja katika orodha ya mikoa 10 yenye wa [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Magazeti ya leo Septemba 2,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 2,2022.
[...]