Author: Cynthia Chacha

1 123 124 125 126 127 274 1250 / 2733 POSTS
Rais Samia anavyomuenzi Mwalimu Nyerere

Rais Samia anavyomuenzi Mwalimu Nyerere

Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kumuenzi baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ujinga, maradhi [...]
Wanyama kufungwa redio

Wanyama kufungwa redio

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana, leo Oktoba 13, 2022, amezindua ufungaji wa redio za mawasiliano kwa wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa [...]
Jeshi la Polisi kinara vitendo vya Rushwa

Jeshi la Polisi kinara vitendo vya Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini huku Jeshi la Polisi likishika nafasi y [...]
Magazeti ya leo Oktoba 13,2022

Magazeti ya leo Oktoba 13,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 13,2022. [...]
Waziri Makamba asisitiza matumizi ya nishati safi kwa maendeleo

Waziri Makamba asisitiza matumizi ya nishati safi kwa maendeleo

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema tarehe 1 na 2 mwezi Novemba mwaka huu kutakuwa na Kongamano la Kuongeza Matumizi ya Nishati Safi na Sa [...]
Fahamu kompyuta 5 bora za kununua

Fahamu kompyuta 5 bora za kununua

Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia matumizi ya kompyuta mpakato katika shughuli za masomo, biashara au kiofisi yameongezeka kwa kiasi k [...]
Benki ya Dunia yaitengea Tanzania trilioni 5

Benki ya Dunia yaitengea Tanzania trilioni 5

Benki ya Dunia imeshukuriwa kwa kuitengea Tanzania dola za Marekani bilioni 2.1 sawa na shilingi trilioni 4.9 katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022 [...]
Magazeti ya leo Oktoba 12,2022

Magazeti ya leo Oktoba 12,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 12,2022. [...]
Ziara ya Rais Samia Kigoma

Ziara ya Rais Samia Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu. Akitoa taarifa kwa vyo [...]
Padri amnajisi mtoto wakati akiungama

Padri amnajisi mtoto wakati akiungama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeelezwa namna Paroko wa Parokia Teule ya Mtakatifu Dionis Aropagita  ya Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Sosthenes Baha [...]
1 123 124 125 126 127 274 1250 / 2733 POSTS
error: Content is protected !!