Author: Cynthia Chacha
Karani wa Sensa ajifungua Bunda
Wakati Sensa ya Watu na Makazi ikiendelea vizuri katika Wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara, mmoja wa makarani wa sensa hiyo wilayani Bunda amejifung [...]
Dickson (37) atuhumiwa kumnajisi mtoto wa miaka 15
Polisi mkoani Katavi inamshikilia Ofisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Dickson Mwenda (37), kwa tuhuma za kunajisi mtoto wa miaka 1 [...]
Opereshi kukamata mifuko ya plastiki kuanza Agosti 29
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29 k [...]
Warudisha mahari baada ya kuteseka kwenye ndoa
Mtendaji wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya ,amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 1 [...]
Mpango: Mrema alikuwa kiongozi mkweli na mzalendo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamefika salasala Jijini Dar es salaa [...]
Sensa ni siku 7 tunaomba uvumilivu
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amesema wananchi watahesabiwa kwa siku saba hivyo wananchi ambao hawakufikiwa na makarani jana wasich [...]
Magazeti ya leo Agosti 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 24,2022.
[...]
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja
Orodha ya Waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja au Programu zaidi ya moja
[...]
Madhara ya kutumia kondomu
Watu wengi wanatumia kondomu kama kinga ya kujilinda dhidi ya magonjwa ya zinaa na wengine kuepuka kupata mimba lakini ukweli ni kwamba kondomu zina m [...]
Karani wa Sensa ajinyonga Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani ametoa taarifa ya kifo cha mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa [...]