Author: Cynthia Chacha
Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%
Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa imeonyesha ongezeko katika Pato Halisi la Taifa kwa kufika ashilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141 [...]
“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhar [...]
Serikali kudahili wanafunzi 500 vyuo vya wenye ulemavu
SERIKALI imesema mwaka 2024/2025 imepanga kupitia vyuo vyake vya watu wenye ulemavu kudahili wanafunzi 1500 kati yao wasio na ulemavu ni 500 sawa na a [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Katika kuboresha utendaji kazi, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi.
[...]
Matinyi: Serikali haijaweka rehani kitu chochote
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema mkopo wa Sh 6.5 trilioni uliikopwa na Serikali nchini Korea utalipwa kwa kipindi cha miaka 40 kuanzia [...]
UTEUZI: Prof. Makubi ‘boss’ mpya Hospitali ya Benjamin Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, [...]
Balozi Togolani akanusha taarifa za kutolewa kwa sehemu ya bahari kwa mkopo
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Togolani Mavura, amethibitisha kuwa Tanzania haikusaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea kuhusu Bahari ya Ta [...]
Rais Samia kujenga chuo cha masuala ya anga Tanzania
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ina mpango wa kujenga chuo cha masuala ya anga nchini Tanzania kwa kushirikiana na Chuo K [...]
Korea kuikopesha Tanzania Sh 6.5 trilioni
Tanzania imesaini tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA) na Jamhuri ya Korea utakaoiwezesha kupata mkopo wa Sh6.5 trilion [...]
Rais Samia aanza ziara ya siku saba nchini Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku saba katika Jamhuri ya Korea Kusini na leo anatarajiwa ku [...]