Author: Cynthia Chacha

1 … 140 141 142 143 144 … 283 1420 / 2821 POSTS
Magazeti ya leo septemba 24,2022

Magazeti ya leo septemba 24,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Septemba 24,2022. [...]
Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka sababu ya moshi wa kupikia

Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka sababu ya moshi wa kupikia

Wastani wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana jijini Dodoma, [...]
Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji

Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji

Rais Samia Suluhu amewataka Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini Msumbiji kutumia fursa ya ushirikiano wa nchi hizo mbili kuwekeza kwa faid [...]
Tanzania kuchangia bilioni 2.3 Global Fund

Tanzania kuchangia bilioni 2.3 Global Fund

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango a,etoa mwito kwa mataifa duniani kuungana katika kutoa mchango kwa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua K [...]
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki

Hatimaye mara baada ya kusubiri kwa muda mrefu wabunge tisa watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala)  wamepatikan [...]
Magazeti ya leo Septemba 23,2022

Magazeti ya leo Septemba 23,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 23,2022. [...]
Morrison alimwa faini

Morrison alimwa faini

Winga wa Yanga, Bernard Morrison amelimwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda ambaye alikuw [...]
Wizara yalaani watalii wakiume kuvishana pete Zanzibar

Wizara yalaani watalii wakiume kuvishana pete Zanzibar

Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar imelaani kitendo cha Watalii wawili wa jinsi moja (wanaume) kuvalishana pete [...]
Ahadi ya Makamba yatimia Kigoma

Ahadi ya Makamba yatimia Kigoma

Itakumbukwa wakati akiwasilisha Bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati Juni 2,mwaka 2022, Waziri wa Nishati, January Makamba alikitaja kipaumbe [...]
Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi

Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Inala, Ali Mkonongo kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu k [...]
1 … 140 141 142 143 144 … 283 1420 / 2821 POSTS
error: Content is protected !!