Author: Cynthia Chacha
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Jacqueline apata ubalozi
Miss Tanzania mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi amechaguliwa kuwa balozi wa wa wanawake wenye ulemavu Tanzania.
[...]
Sabaya kizimbani leo
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Tahadhari upepo mkali kwa siku tatu
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahahdarisha umma kuwepo vipindi vya upepo mkali katika Bahari ya Hindi kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo. [...]
Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo
Wataalamu wa wanyamapori katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (Mweka) wamepongeza uamuzi wa serikali kuweka mipaka ya eneo la Pori Tengefu [...]
Magazeti ya leo Juni 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 20,2022.
[...]
Njia rahisi ya kuondoa mba
Kuweka ngozi ya kichwa chako ikiwa na unyevu, kuisafisha mara kwa mara na kutumia shampoo na kuosha nywele zako mara kwa mara ndiyo njia sahihi ya kut [...]
Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na timu ya Masoko ya Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Wamefanya [...]
Mtoto wa miaka 2 akatwa shingo na kutupwa
MTOTO wa miaka miwili, Nkeya Thomas ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kichakani katika Kijiji cha Nyamigogwa, Kat [...]
Morocco petroli Sh11,428 na dizeli Sh10,158
Bei ya mafuta ya petroli ilipanda na kufikia kiwango cha juu zaidi nchini Morocco siku ya Alhamisi, na hivyo kuzua hasira miongoni mwa vyama vya wafan [...]