Author: Cynthia Chacha
Kesi ya Makonda yaondolewa
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kinondoni imetupilia mbali na kuiondoa kesi iliyomkabili Paul Makonda juu ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuingilia matanga [...]
Aponzwa na biashara ya vidole
Mahakama nchini Zimbabwe imemfungulia mashtaka mtu mmoja kwa kufanya mzaha kuwa alikuwa sehemu ya kundi la watu wanaonunua vidole vya miguu vya binada [...]
Herrera apewa ubalozi Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi cheti cha ubalozi wa Utalii wa Zanzibar kiungo wa timu ya [...]
Corona ipo
Wizara ya Afya nchini Tanzania imewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Uviko-19 ikiwemo kupata chanjo kwa sababu ugon [...]
Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kila mwezi kwa ajili ya kukabiliana [...]
Wahitimu kukopeshwa kwa vyeti vyao
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujia [...]
Magazeti ya leo Juni 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Juni 9,2022.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Juni 8,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatano Juni 8,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v [...]
Majaliwa awasha moto
Waziri Kuu Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na k [...]
Bei mpya za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Alkhamis Tarehe 09/ [...]