Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Mei 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Mei 13,2022.
[...]
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5
Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la T [...]
Tanzania na Jamaica kuimarisha ushirikiano
Serikali ya Tanzania na Jamaica zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za utalii, biashara na uwekezaji pamoja na elimu kwa masla [...]
Bongo Spider Man: Bora niache
Mchekeshaji Jackie maarufu kama Bongo Spider Man, amefunguka na kusema anaacha ubunifu wake wa kuchekesha kama spider man baada ya kuzuka kwa taarifa [...]
Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. [...]
Bei ya petroli Marekani inazidi kupaa
Jumuiya ya wenye magari ya Marekani imesema mfumuko wa bei ya mafuta nchini humo umeizidi kupaa huku galoni moja yenye uzito wa lita 3.78 iliuzwa kwa [...]
Bara la Ulaya na uhaba wa mafuta
Wakati Bara la Ulaya likikumbwa na uhaba wa mafuta ya mawese, nchi ya Malaysia inajipanga kurejesha soko hilo baada ya wanunuzi kukwepa kununua bidhaa [...]
Mdee: Sikutegemea haya ndani ya Chadema
Baada ya Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kukaa na Kamati Kuu kuridhia uamuzi uliotolewa na wajumbe kuhusu kuwafukuza wanachama 19, mmo [...]
Mdee na wenzake ‘OUT’
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa ko [...]
Magazeti ya leo Mei 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Mei 12,2022.
[...]