Author: Cynthia Chacha
Takukuru Mwanza yakemea rushwa kipindi cha uchaguzi
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za M [...]
Rais Samiaa aagiza kufungwa eneo maafa yalipotokea Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza eneo la biashara ambalo ghorofa lilianguka Novemba 16, Kariakoo Dar es Salaam, lifungwe na kusiwe na biashara yoyote [...]
Rais Samia aziomba nchi tajiri kuisaidia Afrika kukabili njaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa mataifa tajiri kuongeza ufadhili wa masharti nafuu kwa Afrika ili kusaidia kumaliza tatizo la n [...]
Rais Samia: Hongera Stars
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki Mashindano [...]
Rais Samia aongeza muda wa uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, m [...]
Rais Samia: Poleni wananchi Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Zimamoto na Hospitali ya Muhimbili sambamba na menejime [...]
Rais Samia: Kwaheri King Kikii
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii pamoja na wapenzi wa muziki kufuatia kifo cha mwanamuziki [...]
Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama [...]
Tanzania kushiriki Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa mara ya kwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atashiriki katika Mkutano wa Viongozi wa G20 utakaofanyika kwa mara ya kwanza [...]
Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Hassan Mwamweta ameyataka makampuni makubwa ya Utalii nchini Ujerumani kuifanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan [...]