Author: Cynthia Chacha
Hali ya Watanzania waliopo Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Watanzania wote waliokuwa wamekwama nchini Ukraine ku [...]
Mange Kimambi apata pigo
Zaidi ya wafanyakazi 10 wa Mange Kimambi app wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao kutokana na video iliyowekwa kwenye mtanda [...]
Ujumbe wa Samia Kwa Polepole
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili kati ya tano aliowateua jana Machi 15 ambao ni Bw. Humph [...]
Pambano kali kati ya Putin na Elon Musk
Tajiri mkubwa duniani Elon Musk, ameibua mjadala katika mitandao ya jamii baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa anaomba pambano la ng [...]
EAC yatahadharisha magonjwa ya mlipuko
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezitaka nchi za wanachama wake kuongeza kasi ya kuzuia na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika kipindi cha mv [...]
Diamond: Mwijaku ananitumia message
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz ambaye hivi karibuni ameachia EP yake ya First Of All (FOA) ameweka wazi kwamba hana chuki wala [...]
Majaliwa awaonya wapotoshaji Ngorongoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa watu wanaotoa maneno ya uchochezi na kupotosha kuhusiana na suala la kuwahamisha wananchi kutoka hifadhi [...]
GSM yafunguka sakata la moto
Baada ya kiwanda cha kutengeneza magodoro cha kampuni ya GSM kilichoko Mikocheni mkoani Dar es Salaam kuungua na moto Machi 14, Mmoja kati ya wasimami [...]
Obama akutwa na Covid-19
Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama amethibitisha kukutwa na Covid-19 taarifa aliyochapisha kwenye ukurasa wa twitter na kusema anawakumbusha watu [...]
Profesa Mkenda aruhusu vitabu vya ziada
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku maofisa elimu kuzuia vitabu vya ziada kutumika na kuonya atakayebainika [...]