Author: Cynthia Chacha

1 199 200 201 202 203 222 2010 / 2212 POSTS
Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

Hatimaye Rihanna amepata mwenza ambaye anamfanya ajione kama msichana pekee kwenye dunia hii kama asemavyo  katika wimbo wake wa ‘Only girl in the wor [...]
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri

Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri

Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]
Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa

Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa huku bei ya dizeli ikiongezeka [...]
Vituo shinikizi vyaleta neema Lindi

Vituo shinikizi vyaleta neema Lindi

Wananchi wa halmashauri za Lindi na Mtama, wamesema uamuzi wa Serikali wa kujenga shule shikizi katika maeneo yao umekuwa na manufaa kwa sababu imewao [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 1, 2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 1, 2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa; https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia

Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia

Historia imeandikwa tena nchini Tanzania kwa namna ambavyo Dkt. Tulia Ackson ameibuka mshindi wa nafasi ya spika kwa kupata kura 376 sawa na 100% ya k [...]
Miriam Odemba aanzisha kampeni yakumnunulia gari Wema Sepetu

Miriam Odemba aanzisha kampeni yakumnunulia gari Wema Sepetu

Mwanamitindio na mshindi wa taji la Miss Temeke mwaka 1997, Miriam Odemba ameungana na mfanyabiashara Johana Mathysen maarufu kama Director Joan na ku [...]
Mama azaa watoto wanaobadilika jinsia

Mama azaa watoto wanaobadilika jinsia

Mama mmoja kutoka Bukoba mwenye umri wa miaka 43, jina lake limehifadhiwa amekumbwa na sintofahamu baada ya  watoto wake watatu aliowazaa kuwa na jins [...]
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kujinyonga kwa askari mahabusu

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi kujinyonga kwa askari mahabusu

Baada ya kuwepo kwa maneno ya sintofahamu kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Msaidizi Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe, Jeshi hilo la [...]
Lindi washukuru fedha za tozo kwa kuboresha sekta ya Afya

Lindi washukuru fedha za tozo kwa kuboresha sekta ya Afya

Wakazi wa kata ya Mvuleni, manispaa ya Lindi wameeleza watakavyonufaika na uwepo wa kituo cha afya cha kisasa kilichojengwa kutokana fedha za tozo za [...]
1 199 200 201 202 203 222 2010 / 2212 POSTS
error: Content is protected !!