Author: Cynthia Chacha
Zungu amuahidi Samia urais 2025
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais Samia Suluhu kutokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi Mkuu ujao wa [...]
Mayele ampa mtoto bao
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Mayele amesema bao alilofunga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi kati ya timu yake na Geita Gold amempa zawadi mtoto [...]
Sabaya atemwa
Wakili aliyekuwa akisimamia na kumtetea aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (35) na wenzake 6 amejitoa katika k [...]
Pasha afariki vitani
Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin [...]
Ukraine na Urusi zaungana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa hatua za awali zakuhakikisha wanafunzi wakitanzania wa [...]
Samia atimiza ahadi yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya jitihada ya kuweka mazingira rafiki ya kufundishia na kujif [...]
Diamond aachia #FOA
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz ametoa kirefu cha jina la EP yake 'FOA' kwamba ni 'First Of All' kupitia ukurasa wake wa instagr [...]
Wanaume Geita walilia wake zao
Wanaume mkoani Geita wanaodai kutendewa vitendo vya ukatili na wake zao ikiwamo kupigwa na kunyimwa unyumba wamejitokeza kwa wingi katika dawati la ji [...]
URUSI: BEBA BENDERA YA TZ
Wanafunzi waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy-Ukraine kuanza kuondolewa kwa kupitia mpaka wa Urusi huku wakiambiwa wabebe mabegi na bendera za Tanz [...]
Vijana 853 waliofukuzwa waruhusiwa kurudi kwenye Makambi ya JKT
Vijana 854 kati ya 24000 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa na kusimamishwa mafunzo mwaka 2021 kwa kosa la vitendo vya uhasi wamesamehewa na [...]