Author: Cynthia Chacha
DP World Yabadilisha Uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam
Dar Es Salaam– Tangu DP World ilipoanzishwa kubadilisha uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam, tunafurahi kutangaza kuboreshwa kwa ufanisi wa bandari [...]
Rais Samia: Nendeni mkajiongeze na kuviishi viapo vyenu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni kwenda kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi na kuishi kwa kufuata viapo wal [...]
Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa SADC
Rais Samia Suluhu anatarajia kuhudhuria Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) utakaofanyika Ago [...]
Rais Samia Suluhu afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyo [...]
Fahamu dalili za Mpox na jinsi unavyoambukizwa
Mpox (ambayo zamani ilijulikana kama monkeypox) ni ugonjwa nadra lakini unaweza kuwa na madhara makubwa unaosababishwa na virusi vya Mpox. Maambukizi [...]
Umoja wa Afrika watoa tahadhari ya Mpox
Uangalizi wa afya wa Umoja wa Afrika umetangaza dharura ya afya ya umma kutokana na kuenea kwa ugonjwa wa mpox barani Afrika, ukisema kuwa hatua hiyo [...]
Mamia ya wafuasi wa Chadema na viongozi wao waachiwa
Jeshi la Polisi limewaachia mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na viongozi wao wakuu baada ya kuwakamata ndani ya [...]
Rais Samia: Maafisa ugani ni mashujaa
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kutambua na kupongeza juhudi za maafisa ugani na maafisa ushirika katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nc [...]
Mwendokasi Gerezani- Mbagala kuanza Novemba mwaka huu
Huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi katika njia ya Gerezani hadi Mbagala, jijini Dar es Saalam, unatarajiwa kuanza Novemba [...]
Rais Samia : Hongereni wakulima, wafugaji na wavuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakulima, wafugaji, na wavuvi kwa juhudi zao kubwa zinazochangia katika maendeleo ya sekta ya kilimo, mifugo, na [...]