Author: Cynthia Chacha
Rais Samia atoa kibali cha ajira kwa watumishi 21,200
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya.
Idad [...]
Magazeti ya leo Aprili 12,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 12,2023.
[...]
Rais Samia apongezwa na Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amempongeza na kumshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuu [...]
Wilaya 64 kujengwa vyuo vya ufundi stadi
Serikali imesema imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi, katika wilaya 64 ambazo zilikuwa hazijajengewa vyuo hivyo.
A [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 11,2023.
[...]
Rais Samia aridhia Balozi Mulamula kugombea Ukatibu Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Balozi Liberata Mulamula kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola akiamini kuwa kutokana na uzoefu wake [...]
ACT- Wazalendo wataka mfumo wa Air Tanzania kufumuliwa
Chama Cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kubadili haraka mfumo wa uendeshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ili kuliepusha na hasara ambayo ime [...]
Madudu ukaguzi maalum wa CAG REA 2015/2016 mpaka 2019/2020
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.
Ukaguzi umefanyik [...]
Magazeti ya leo Aprili 10,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 10,2023.
[...]
BASATA: Hakuna msanii kutolewa kwenye tuzo
Baada ya kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa wasanii kuhusu uwepo wao kwenye baadhi ya vipengele vya kuwania tuzo za muziki na wengine kutaka kujitoa kwe [...]