Author: Cynthia Chacha

1 80 81 82 83 84 237 820 / 2365 POSTS
Rais Samia ataka mpango wa maendeleo wa kuhudumia wananchi mil. 61.7

Rais Samia ataka mpango wa maendeleo wa kuhudumia wananchi mil. 61.7

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni mzigo kwa Taifa, hivyo lazima iwepo mipango madhubuti ya kuwahudumia watu milio [...]
Dar tayari kuikabili Ebola

Dar tayari kuikabili Ebola

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na timu ya dharura ya kukabili maambukizi ya magonjwa ya mlipuko katika Mkoa wa Dar es Salaam ili kuona utayrai [...]
Sababu ya maduka ya Game kufungwa

Sababu ya maduka ya Game kufungwa

Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imetangaza kuwa Disemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. [...]
Madereva wa malori bandarini Dar waigomea TICTS

Madereva wa malori bandarini Dar waigomea TICTS

Madereva malori wameigomea kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) kutokana ucheleweshaji mkubwa [...]
Mgawo wa maji mbioni kuisha

Mgawo wa maji mbioni kuisha

Wakazi wa wilaya ya Ilala, Kigamboni na Temeke wako mbioni kusahau mgawo wa maji baada ya Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla jana kuwasha pam [...]
Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika

Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika

Mratibu Kiongozi Kimataifa wa Ubia wa Utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Bw. Ted Chaiban ameipongeza Tanzania na nchini nyingine Barani Afrika pamoja na wad [...]
Magazeti ya leo Oktoba 29,2022

Magazeti ya leo Oktoba 29,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 29,2022. [...]
Korea yaipa Tanzania mkopo nafuu Sh bil. 310

Korea yaipa Tanzania mkopo nafuu Sh bil. 310

Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa mkopo wa gharama nafuu wa sh bilioni 310 kwa Tanzania kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vita [...]
Wenye visima ruksa kusambaza maji

Wenye visima ruksa kusambaza maji

Wakati Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikitoa ratiba ya mgao wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea eneo la mat [...]
Magazeti ya leo Oktoba 28,2022

Magazeti ya leo Oktoba 28,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 28,2022. [...]
1 80 81 82 83 84 237 820 / 2365 POSTS
error: Content is protected !!