Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Septemba 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Tanzania Jumatano Septemba 21,2022.
[...]
Hizi ndio tozo zilizofutwa na serikali
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba amesema baada ya kupitia upya tozo za miamala ya fedha serikali imeamua kupunguza na kufut [...]
Marais wa Afrika kupakiwa kwenye basi ni dhihaka?
Na Abbas Mwalimu
(0719258484).
Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022.
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafi [...]
Magazeti ya leo Septemba 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 20,2022.
[...]
Nafasi za kazi
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumatatu19 Sept 2022
Bonyeza Links Zifuatazo:
11 Logistics Officers at MDH
HTS & HIV Prevention Servic [...]
Afariki kwenye ajali akimkimbiza mumewe na mchepuko
Mwanamke mmoja nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akimfukuzia mumewe aliyekuwa na mwanamke mwingine kwenye gari.
K [...]
Panya Road walivyokamatwa na Polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema wahalifu sita wa unyang’anyi wa kutumia silaha wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa wakijaribu [...]
Daraja la Wami kuanza kutumika Septemba 30
Daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
Akizungumza katika ziara [...]
Magazeti ya leo Septemba 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 19,2022.
[...]
Rais Samia amteua Prof. Janabi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkuruge [...]