Author: Elibariki Kyaro

1 9 10 11 12 13 18 110 / 171 POSTS
Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza na kuwaeleza wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani kuimarishwa ushirikiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo m [...]
Tetesi za soka Septemba 22 (Martial kuondoka, Guardiola avutwa Barca)

Tetesi za soka Septemba 22 (Martial kuondoka, Guardiola avutwa Barca)

Tetesi za Soka Barani Ulaya leo Septemba 22, 2021: Laporta, Bernd Leno, Henderson, Kante, Lewandowski, Oyarzabal, Asensio Rais wa Barcelona Joan La [...]
Yanga yaibwaga mbali Simba mapato ya msimu 2020/21

Yanga yaibwaga mbali Simba mapato ya msimu 2020/21

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetoa takwimu za msimu uliopita (2021/22) ambapo Yanga imeshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi zaidi ya getini, [...]
Bajaji iliyonunuliwa na Magufuli yaibwa

Bajaji iliyonunuliwa na Magufuli yaibwa

Juni 19, 2020, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, alimsaidia mwanamke mwenye ulemavu wa miguu kupata b [...]
Daraja jipya la Tanzanite kuanza kutumika Desemba 2021

Daraja jipya la Tanzanite kuanza kutumika Desemba 2021

Mradi wa ujenzi wa Daraja la Tanzanite mkoani Dar es Salaam unaosimamiwa na serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), umefikia asilimia [...]
Benki ya Dunia kushirikiana zaidi na Tanzania

Benki ya Dunia kushirikiana zaidi na Tanzania

Benki ya Dunia iimesema itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza uchumi kupitia mabadiliko ya kidijitali kwa kushirikiana na sekt [...]
Leo katika historia: Hitler na Churchill waingia kwenye mgogoro

Leo katika historia: Hitler na Churchill waingia kwenye mgogoro

1. Tarehe kama ya leo mwaka 1934 kimbunga kikali kilikumba Kisiwa cha Honshu, nchini Japan na kuua zaidi ya watu 4,000. Japan inaongoza kwa kukumbwa n [...]
Agizo la TAMISEMI wanaoomba rushwa upandishaji madaraja walimu

Agizo la TAMISEMI wanaoomba rushwa upandishaji madaraja walimu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imebaini uwepo wa vitendo vya rushwa katika upandishaji wa madaraja ya walimu na kuagiz [...]
Sudan yazima jarabio la mapinduzi

Sudan yazima jarabio la mapinduzi

Kumetokea jaribio la kuipindua serikali ya Sudan, lakini tayari limezimwa na jitihada za kurejesha hali ya utulivu zinaendelea. Kituo cha Televishe [...]
1 9 10 11 12 13 18 110 / 171 POSTS
error: Content is protected !!