Author: Elibariki Kyaro
Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kucheza soka Ulaya
Sunday Manara alizaliwa miaka 67 iliyopita mkoani Kigoma na alianza elimu ya msingi mwaka 1961 katika shule ya White Fathers iliyokuwa Ujiji kabla ya [...]
Hii ndiyo sababu ya kupanda kwa bei ya nyama
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikan [...]
Ajira rasmi 10 zinazolipa zaidi nchini Tanzania
Ajira ni moja ya njia ya kujiingizia kipato. Lakini ukweli ni kwamba kila ajira ina ujira wake, hii ni kulingana na mazingira ya kazi, elimu na hata u [...]
Dereva aeleza alichomwambia Ole Nasha kabla hajafariki
Fikiri Madinda, dereva wa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha ambaye alifariki Dunia Septemba 27 mwaka hu [...]
Morogoro, Dodoma vinara ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa
Tarehe 29 mwezi Septemba kila mwaka hutambulika kama Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani. Takwimu zilizotolewa na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk James [...]
Mkakati wa NIDA, TRA na Bodi ya Mikopo kusaka wadaiwa
Serikali imeendelea kutoa mikopo kufadhili masomo ya elimu ya juu kwa wanafunzi nchini ambapo inategemea kutumia Tanzania shilingi bilioni 570 kwa mwa [...]
Soma hapa wasifu wa Mwenyekiti mpya wa Simba SC
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kumteua Salim Abdallah, maarufu Try Again kuchukua n [...]
Simulizi ya mfanyabiashara wa ngono mtandaoni na kisa cha kudhalilishwa
Biashara ya ngono imebadilika kutokana na changamoto mbalimbali kama UVIKO-19 pamoja na maendeleo ya teknolojia ambapo wadada wanafanya biashara hiyo [...]
Njia 3 za kukuwezesha kutimiza malengo yako kwa wakati
Sote tunajua kuwa muda ni kitu muhimu sana katika kazi au majukumu ya kila siku na kila kitu katika dunia hii kinakwenda na kutengemea muda. Muda ni z [...]
Rais awapangia vituo vya kazi mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 28 Septemba, 2021 amewapangia vituo vya kazi Mabalozi wafuatao:-
Kwanza, B [...]