Author: Mjumbe
Apple kusitisha kuzalisha iPhone 13
Kampuni ya Apple kuacha kuzalisha iPhone 13 kwa muda kutokana na uhaba wa vipuli (spare) aina ya ‘chip’, kipuli ambacho hufanya simu za iphone kufanya [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 13, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Madhara 8 makubwa yatokanayo na unywaji soda
Soda ni moja ya vinywaji pendwa sana kwa watoto, wazee na hata vijana lakini ni kati ya kinywaji hatari sana katika mwili wa binadamu kwani madhara ya [...]
Serikali kuajiri wahandisi 260
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ameeleza serikali imetoa kibali cha kuajiri wahandi [...]
Leo katika historia: Hosni Mubarak anachaguliwa kuwa Rais wa Misri
Tarehe na siku kama ya leo mwaka 1981, Makamu wa Rais wa Misri, Hosni Mubarak anachaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo baada ya Rais Anwar Sadat kuuawa. Mu [...]
Nafasi za kazi Hospitali ya Agha Khan
Medical Practitioner Positions (7 Positions)
The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) an institution of The Aga Khan Development Network, com [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 13 (Chamberlain mbioni kurudi Arsenal, Man City ikimnyatia Haaland)
Klabu ya Liverpool ipo tayari kumuuza kiungo wake Oxlade-Chamberlain (28), kwa bei stahiki huku kukiwa na taarifa zinazomhusisha kurudi Arsenal (Mirro [...]
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 13, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatano, Oktoba 13, 2021
[...]
Mambo 5 muhimu ya kufanya kabla ya kulala
1. Panga mambo ya siku ifuatayo
Kabla ya kulala, tumia dakika tano au kumi kupitia mipango yako. Andika orodha ya mambo yote unayoyahitaji kuyaanya, [...]
Mbinu 4 za kujizuia kufika kileleni mapema kwa Wanaume
Wanawake wengi wanagombana na wenza wao na hata wengine kufikia hatua ya kusaliti mahusiano yao kwa sababu hawavutiwi kuwaona waume zao wakiwahi kufik [...]