Author: Mjumbe
Tazama hapa Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Novemba 03, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Mfahamu msanii wa kwanza kutengeneza ‘album’ na kupiga show nje ya Tanzania
Mama wa Muziki, Mama wa Muziki wa Taarab. Siti ni mtu wa kwanza kuimba muziki wa taarabu jukwaani kwa lugha ya kiswahili. Taarab ulikuwa muziki wa tab [...]
Huyu ndiye mwanzilishi wa chama kipya cha Umoja
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba us [...]
Nafasi za kazi Hindu Mandal Hospital
Applications are invited from suitably qualified and experienced candidates for the following vacant posts:-
Position Title: Specialist Surgeon 1 P [...]
Squid Game kufungiwa Kenya
Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji nchini Kenya (KFCB), Christopher Wambula amewashauri wazazi kuwa waangalifu na kufuatilia video ambazo watot [...]
Burna Boy na Mama yake washutumiwa kwa utapeli
Promota wa muziki anayeishi Marekani Emmanuel Chinyere Uzoh amemshutumu Mshindi wa tuzo ya Grammy, Burna Boy pamoja na Mama yake mzazi Bose Ogulu kwa [...]
Jay Z rasmi Instagram
Msanii wa Hip Hop wa kwanza kuwa bilionea, mfanyabiashara Shawn Corey Carter maarufu kama Jay Z amejiunga rasmi kwenye mtandao wa Instagram na kufanik [...]
Rwanda kugawa simu bure kwa Wananchi
Serikali ya Nchi ya Rwanda inatarajia kusambaza simu za kisasa takribani 14,000 kwa wananchi wake kwenye kampeni inayojulikana kama “Connect Rwanda Ch [...]
Ukatili kwa waandishi wa habari wapungua
Ofisa Programu Mwandamizi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Paul Malimbo amesema matukio ya waandishi wa habari kupigwa, kunyang’anywa vifaa vyao vy [...]
EWURA yatangaza bei elekezi mafuta ya Petroli
Kutokana na ongezeko la bei ya mafuta ghafi tangu mwezi mei 2020 ambapo bei imeongezeka mara mbili kutoka wastani wa dola za kimarekani 32 kwa pipa mw [...]